,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, October 29, 2016

Mtu wangu wa nguvu moja kati ya vifaa hatari kutumia duniani ni vyombo vya usafiri, ndio maana mara zote tumekuwa tukishauriwa kutumia vifaa hivyo wakati ambapo tupo sawa, kwa maana mtu huna mawazo, hujalewa au kutumia kitu kingine chochote ambacho kinaweza kukuharibia umakini wakati wa kuendesha gari au kukatisha barabarani.

Nimekutana na list ya nchi 25 zinazoongoza kwa ajali za barabarani, kwa upande wa nchi za Afrika Mashariki Uganda pekee ndio wametajwa kuwa katika list ya nchi zinazoongoza kwa ajali za magari barabarani, katika nchi 25 zilizotajwa Uganda imetajwa katika nafasi ya 11, hii ni kwa mujibu wa www.worldatlas.com
12
U

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi