,./.,

,,

... ...

';';';';

,.,.

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

\\..\\

Thursday, October 27, 2016Cvw1bfiWIAAH8oS.jpg

Ripoti zinasema wazazi wa mtoto huyo wa kiume aliyetambuliwa kama Erman Delic wameshindwa na la kufanya. Familia yake ilisema walitambua ana uwezo huo wakati walipokuwa wakitazama runinga pamoja.

Video iliyosambazwa mitandaoni ilionyesha mwili wake ukivuta vijiko, uma na mapeni kifuani mwake huku vyuma vingine vikiwa tayari vimesakama mgongoni mwake.

Madaktari walisemekana kushindwa kueleza chanzo cha hali hiyo ambayo sasa haieleweki kama ni talanta au ugonjwa.

Hii si mara ya kwanza ripoti kama hii kuripotiwa. Miezi kadha iliyopita, mtoto mwenye umri wa miaka tisa kutoka Uturuki pia alinaswa kwenye video akiwa na hali kama hiyo.

Hatari iliyopo ni kuwa miili aina hiyo huenda ikavuta vyuma vinavyoweza kujeruhi watoto hao.

=======================
A five-year-old Bosnian boy with magnetic 'superpowers' has become an online sensation.

Erman Delic, from the village of Malešići near Gracanica in Bosnia and Herzegovina, is described by doctors as totally healthy despite being a 'human magnet'.

A bizarre video shows cutlery and coins attracted to his chest.

His family recorded the footage and posted it online, where it has since gone viral with thousands of views.

By the end of the short clip three spoons, 13 coins and a fork are seen stuck to his chest, with more still on his back as though they had been glued on.

Erman reportedly discovered his strange gift while watching a TV show.

After being taken to the doctor to make sure nothing was wrong he was given the all clear.

And Erman is not alone with his unusual powers.

Mehmet Sumbul, a nine-year-old boy from Turkey, also behaves in the same way.

Video footage of him proves that similar objects stick to his body too just like Erman.

He said: 'People think I'm a freak. When I'm angry, my magnetic field becomes stronger,' reports Croatian news site 24 Sata.

There are several others with the unique gift too, which many scientists put down to sticky skin rather than magnetism.


Source: DailyMail

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi