,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

,.,.

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, October 19, 2016

Utafiti husaidia kupata majawabu YA changamoto mbalimbali,Ni chanzo cha mabadiliko YA sera, dira na mapinduzi YA sayansi na teknolojia
-Amewahakikishia usalama watafiti wote mkoani Mbeya
-ATAKA Wananchi waelimishwe umuhimu wa watafiti
- Awaomba wananchi kuwa na tabia kupima Afya zao
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya amesema kuwa Taifa au serikali isiyowekeza katika utafiti itapata maendeleo kwa njia YA kubahatisha 
Amesema changamoto Nyingi zinahitaji majawabu YA kiutafiti, mabadiliko YA sera , sheria huanza na utafiti. Mapinduzi YA kilimo au uzalishaji bora wa Mazao huanza na utafiti
Maendeleo YA sayansi na kiteknolojia huanza na utafiti hivyo ni Muhimu sana kuwekeza katika utafiti . Uanzishaji wa Chuo cha Nelson Mandela Arusha ni kwa ajili ya kukuza utafiti nchini
Hayo ameyasema Leo jijini Mbeya wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau wa utafiti wa viashiria na Matokeo YA ukimwi 2016 na kupitia utafiti huo tutapata majawabu ya hali YA maambukizi YA ukimwi, rika linaloathiriks zaidi na ukimwi na ushauri wa kutokomeza ukimwi
Amewahakikishia usalama watafiti wote watakaofanya utafiti wowote katika Mkoa wa Mbeya

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi