,./.,

\\..\\

W

=====

,,

... ...

...      ...

';';';';

';';';';
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, October 16, 2016

Fri
Hili ni shindano maalumu la kuonyesha miguu.
Jina la shindano hili ni "ONYESHA MIGUU YAKO" na kauli mbiu ya shindano hili ni " JITUTUDE" yaani " JIONYESHE TUKUONE TUKUPE DEALS "

Washindi ishirini bora watakao pigiwa kura watapata zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupewa deals za kufanya kazi na kampuni na taasisi mbalimbali. Utaratibu wa kupiga kura na vigezo vitakavyo tumika kuwapata washindi pamoja na majina, namba za ushiriki na maelezo binafsi ya washiriki vitatolewa hapo baadaye.
Kama wewe ni mdada wa kitanzania, na unataka kushiriki katika shindano hili, tutumie picha zako, maelezo binafsi, Cv yako, contacts zako, wilaya unayo ishi, hobbies zako, interest zako na ambition zako. Tutumie kwenda : neemaherbalist@gmail.com.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi