,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, October 16, 2016


Diamond platnumz ni moja ya wasanii wa Bongo fleva ambao ndoto zao kubwa ni kuhustle kuufikisha muziki wa Bongo katika sehemu ambazo ilikuwa ni ndoto kufika.
Tukiwa tunasubiri ujio wa ngoma yake mpya na Neyo, Diamond, Ludacris, Swizz na wengine kibao waungana siku ya ijumaa waliungana pamoja kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa Usher kupitia kurasa zao za Instagram.
Siku ya Jana Diamond aliungana na wasanii wakubwa kama ludacris, Swizz Beatz na wengine kumtakia heri ya kuzaliwa Usher, na kwa upande wa Diamond platnumz yeye aliandika hivi, “Happy Birthday Bro… Can’t wait for our Big day! @usher,” so tusubiri makubwa kwenye hili.0 comments:

Post a Comment

ufunguzi