,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, October 26, 2016

49244280-cached
Jay Z atampa shavu Hillary Clinton kwenye harakati zake za kuingia White House.

Rapper huyo amekubali kutumbuiza kwenye tamasha la mgombea huyo wa urais kupitia chama cha Democratic huko Cleveland. Show hiyo ambayo haijaelezewa itafanyika lini itatumika kushawishi zaidi wapiga kura wamchague.
Miaka minne iliyopita, Jay Z aliungana na Bruce Springsteen kutumbuiza kwenye tamasha la Rais Barack Obama, siku moja kabla ya uchaguzi.
Rappers kama Pusha T, Common, Chance the Rapper, na will.i.am wamemuunga mkono hadharani mgombea huyo.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi