,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, October 16, 2016

"Dunia hii itafanywa tupu kabisa, na kuharibiwa kabisa; maana BWANA amenena neno hilo. Dunia inaomboleza inazimia; ulimwengu unadhohofika unazimia; watu wakuu wa dunia wanadhoofika.
Tena dunia imetiwa unajisi kwa watu wanaoikaa, kwa maana wameziasi sheria, wameibadili amri, wamelivunja agano la milele". ISAYA 24:3-5.Mambo 3 yamezungumziwa ktk msitari wa 5 ambayo ndiyo sababu ya dunia hii kuwa ktk hali hii mbaya:

1. KUZIASI SHERIA - Hii inamaanisha ni kutenda kinyume na sheria za Mungu zinavyosema 'KUTOKA 20:3-17.

2. KUIBADILI AMRI - Hii inamaanisha kuna amri moja iliyobadilishwa maana inazungumzia uchache. Na ukiangalia leo amri ya 4 ndiyo iliyobadilishwa 'KUTOKA 20:8-11, hata Daniel naye alitabiri kuhusiana na jambo hili "DANIEL 7:25".


3. KUVUNJA AGANO LA MILELE - Agano hili la milele lilivunjwa ni Sabato ya Bwana 'KUTOKA 31:16

"Dunia hii itafanywa tupu kabisa, na kuharibiwa kabisa; maana BWANA amenena neno hilo. Dunia inaomboleza inazimia; ulimwengu unadhohofika unazimia; watu wakuu wa dunia wanadhoofika.

Tena dunia imetiwa unajisi kwa watu wanaoikaa, kwa maana wameziasi sheria, wameibadili amri, wamelivunja agano la milele". ISAYA 24:3-5. Mambo 3 yamezungumziwa ktk msitari wa 5 ambayo ndiyo sababu ya dunia hii kuwa ktk hali hii mbaya:

1. KUZIASI SHERIA - Hii inamaanisha ni kutenda kinyume na sheria za Mungu zinavyosema 'KUTOKA 20:3-17. 2.

KUIBADILI AMRI - Hii inamaanisha kuna amri moja iliyobadilishwa maana inazungumzia uchache. Na ukiangalia leo amri ya 4 ndiyo iliyobadilishwa 'KUTOKA 20:8-11, hata Daniel naye alitabiri kuhusiana na jambo hili "DANIEL 7:25". 3.

KUVUNJA AGANO LA MILELE - Agano hili la milele lilivunjwa ni Sabato ya Bwana 'KUTOKA 31:16

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi