,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, October 29, 2016

Nchini Pakistan watu waliojibadilisha jinsia wametishia kwenda mahakama kuu kudai haki zao za msingi kwani wananyanyaswa.Madai yao nikutambulika kisheria waajiriwe,huduma za afya na elimu wapewe.Wamekua wakijiuza na kucheza kwenye harusi ili kupata fedha ya
kujikimu.Sababu za msingi zakujibadilisha ni kutokukubali jinsia walizozaliwa nazo.


0 comments:

Post a Comment

ufunguzi