,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, October 29, 2016

Nchini Kenya, kumetokea kioja ambapo wanaume wengi wameamua kuanza kujihusisha na shughuli ya kuuza WAKE zao kwa watalii wanaotoka mataifa mbalimbali ili kujipatia PESA za kukidhi haja za Kimaisha.

Ikiripotiwa kupitia Luninga ya Citizen TV.

Imesemekana kwamba wanaume hao hulazimisha wake zao kuchukuliwa na watalii ambao wengi wao ni jamii ya wazungu, wachina na wahindi ili tu kuingizia familia kipato.

Watalii hao hupenda sana kuulizia wanawake ambao ni rahisi kudanganyika kwamba wataolewa. 

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi