,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, October 16, 2016

 Mshindi wa jiongeze na M-Pawa mkazi wa Buza  temeke mkoa wa Dar es Salaam, Astride Mtewele(kushoto) akipokea fedha taslimu shilingi Milioni 20/- kutoka kwa Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Jacquiline Materu (kulia)Anayeshuhudia katikati Mkuu wa Mauzo na Usambazaji kanda ya Dar es Salaam,Domician Mkama, wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika jijini mwishoni mwa wiki.

 Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Jacquiline Materu(kulia) na  Mkuu wa Mauzo na Usambazaji kanda ya Dar es Salaam wa kampuni hiyo,Domician Mkama wakimshuhudia Mshindi wa jiongeze na M-Pawa ambaye ni mkazi wa Buza jijini  Dar es Salaam, Astride Mtewele(kushoto)jinsi asivyoamini kama kajishindia kitita cha shilingi Milioni 20/- kupitia promosheni hiyo baada ya kukabidhiwa rasmi mwishoni mwa wiki jijini.

 Mshindi wa jiongeze na M-Pawa mkazi wa Buza  temeke mkoa wa Dar es Salaam, Astride Mtewele(kushoto)akionekana kutokuamini kama atakabidhiwa kitita chake cha shilingi Milioni 20/-alizojishindia kupitia promosheni ya jiongeze na M pawa inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, kabla ya kukabidhiwa rasmi kitita hicho mwishoni mwa wiki,Wengine katika picha ni wafanyakazi wa Vodacom Tanzania.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi