,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, October 13, 2016


 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape  Nnauye akipiga kitaa wakati wa hafla fupi ya Siku ya Kitaifa ya Hispania alipoalikwa kama mgeni rasmi na Balozi wa Hispania hapa nchini.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape  Nnauye (kulia) akigonga glasi na Balozi wa Hispania nchini Ndg.Felix Costale Artieda(kushoto) ikiwa ishara ya kutakiana kheri  wakati wa hafla fupi ya Siku ya Kitaifa ya Hispania alipoalikwa kama mgeni rasmi nyumbani kwa Balozi huyo Jijjini Dar es Salaam.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape  Nnauye akijadiliana jambo na Balozi wa Hispania nchini Ndg.Felix Costale Artieda(katikati) wakati wa hafla fupi ya Siku ya Kitaifa ya Hispania alipoalikwa kama mgeni rasmi na Balozi wa Hispania hapa nchini.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape  Nnauye akibadilishana mawazo na baadhi ya waalikwa wa hafla fupi ya Siku ya Kitaifa ya Hispania alipoalikwa kama mgeni rasmi na Balozi wa Hispania hapa nchini Jijini Dar es Salaam.Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WHUSM.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi