,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, October 11, 2016

 Balozi wa India Nchini, Sandeep Arya (kushoto) akibadilishana mawazo na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kulia) mara baada ya kuwasili ofisini kwake. Lengo la ziara ya balozi huyo lilikuwa ni kuelezea nia ya serikali ya India katika uwekezaji kwenye sekta ya gesi nchini.
 Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akiongoza kikao  na Balozi wa India Nchini, Sandeep Arya pamoja na watendaji kutoka  Wizara ya Nishati na Madini, Shirika la  Umeme Nchini (TANESCO), Shirika la Maendeleo ya  Petroli Nchini (TPDC), Mamlaka ya Udhibiti wa  Huduma za Nishati na Maji Nchini(EWURA) na  Mamlaka ya Udhibiti wa Shughuli za Mkondo wa Juu wa Mafuta (PURA).
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa India Nchini, Sandeep Arya (kushoto)

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi