,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

,.,.

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, October 9, 2016Afrika ni bara zuri ambalo limejaa tamaduni mbali mbali, Lugha na watu wa kila aina. Kama ilivyo kila kitu kinakuzidiana, Hivyo katika nchi zilizomo ndani ya bara la Afrika kuna nchi ambazo zinaongoza kuwa na wanawake wenye mvuto. Tunavyo ongelea 'Wazuri/Warembo' hapa ndipo mchanganyano unapo tokea maana ni neno kubwa sana na zito.
Kila moja huona uzuri kwa tofauti yake, Lakini kwa ujumla hatuangalii sura, umbo bali tabia, kujitunza na ushawishi wa kutumia muonekano wako.
NOTE: Mtazamo huu wa Top 10 nchi za Afrika zenye warembo ni kutokana na maoni mengi kutoka kwa watu kwa mujibu wa Afrojuju.net, Hivyo na wewe unaweza kuaj na Top 10 yako yenye nchi ambayo unahizi inawarembo wakali hapa Afrika.10: TANZANIA.
Wanawake wa nchi hii wanasifika kwa uzuri, kutunza nyumba na ujuzi kwenye kitanda. Kama unatafuta mwanamke wa kumpeleka nyumbani kumtambulisha ambaye anajua kutunza nyumba, Basi Tanzania ndipo eneo sahihi.

09: KENYA.
Wasichana wa Kenya niwazuri na wanamahaba, Kama unatafuta msichana ambaye ni mzuri, mwenye mahaba, na anaye jisimamia 'Independent', Mchapa kazi na sio mvivu... Basi kimbilia nchini Kenya.

08: GHANA.
Haitawezekana kukamilisha list ya nchi zenye warembo bila kupitia Gold Cost. Wanasifa ya kuwa Warefu, Wataalamu kitandani, ngozi ya asilia 'Ebony Skin tone' na wana uhalisi wa Muafrika.

07: NIGERIA.
Wanawake wa Nigeria niwazuri kutokana na ukubwa wa maziwa yao na walivyo jengeka miili yao kwa afya. Kati kati ya mwaka wa 1970s na 2011 nchi ya Nigeria imeongezeka kwa idadi ya watu nakusababisha iwe maarufu barani Afrika. Hivyo kama unataka mwanamke ambaye atakuzaliwa watoto wazuri basi Nigeria ndipo ukimbilie.

06: SOUTH AFRICA 'The famous Rainbow Nation'.
Afrika Mashariki ni nyumbani kwa wanawake warembo barani Afrika, kuwanzia Cape Town, Johannesburg, Pretoria na Durban. Wanawake wa Afrika Mashariki utawapata wenye uweupe wa chotara au uweusi halisi wa Afrika.

05: ANGOLA 'Doughters of Atlantic cost'.
Nchi ya Angola unaweza kusema ni kama Brazil ndogo kwa wasichana wazuri na warembo, Wasichana wake wakiwa wana rangi ya chocolate scados. Wasichana wa Angola baazi ni Supermodels ambayo itakuchanganya akili kabisa.

04: CAPE VERDE ISLAND.
Sio nchi maarufu barani Afrika wala hata kupata wataa kwenda kuitazama, Lakini kisiwa hicho kidogo ni nyumba ya wasichana na wanawake warembo walioumbwa Afrika. Wanakauli nzuri ya ukarimu ambayo itakufanya usahau njaa wakati hukula chakula.

03: ETHIOPIA 'The cradle of humanity'.
Ustaarabu ndipo ulipo anzia nchini Ethiopia, Wasichana wa nchi hii sio wazuri tu kwa bara la Afrika bali hata ulimwenguni wamekuwa wakisifika kwa uzuri wao unao shawishi kutangaza ndoa. Wengine wamekuwa wakidai uzuri wao umetokana na mchanganyiko wa mbegu 'uzazi' kutoka kwa watu wa Yeamen na Ethiopia wenyewe.

02: SOMALIA 'Vita haiondoi urembo'.
Kama hujawahi kukutana na msichana wa Kisomali basi utakapo kutana naye utachanganyikiwa na kukusababisha uweze hata kusaliti uliye naye. Chukulia mfano wa Iman, Model aliye tikisa ulimwengu kwa mwendo wake wa madaha hadi kila mmoja kushangaa. Wanasifika kuwa na macho mazuri, ngozi ya chocolate, nywele laini na ndefu.

01: RWANDA 'Africa's hidden Apple'.
Niwazuri na wakuvutia, Weusi wa asili, Wana umbo nzuri na ukarimu, Sauti ya kimahaba na urefu wakupagawisha. Wakitembea ni sawa na Twiga nyikani akiwa anatembea. Uzuri wao huwezi kuuelezea.
-Nimekosea? Wewe unadhani nchi gani Afrika ingekuwepo kwenye Top 10 yangu ya leo? Niachie comment hapo chini.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi