,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, November 28, 2016

Hivi karibuni Diamond Platnumz aliibuka kwenye  radio ya Clouds na kufunguka mambo mengi lakini jambo moja alilizungumza akiwa kama anarusha dongo kizani hatimaye aliyemlenga( Ali Kiba) amejitokeza na kufunguka.

awali Diomond Platnumz alipokuwa kwenye mahojiano kwenye kipindi cha XXL alifunguka kuwa kwamba washindani wake wanashindwa ilhali yeye hana hata pete ya kijini mkononi.
“Mimi sina matatizo na watu ndio maana wakijaribu kushindana na mimi huwa wanashindwa. Hata ukiniangalia sina hata pete ya kijani kwenye vidole vyangu.”
Kiba ameibuka Kwenye Mtandao wa Picha wa Instagram na kubeza kauli ya Diamond kwa kutoka na picha aliyoinyosha waziwazi pete yake na kuachia ujembe wa kejeli alioandika “Pete Ya Kijani 😂😂#BirthdayLoading29thNoV #KingKiba.”0 comments:

Post a Comment

ufunguzi