,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, November 10, 2016

Baba mzazi wa mwigizaji mkubwa duniani Will Smith bwana Willard Carroll Smith Sr. amefariki dunia. Taarifa hizi zimetolewa na aliyekuwa mke wake Sheree Fletcher, kupitia Instagra November 7.

Fletcher, 48, aliweka picha instagram ya Will Smith na Baba Yake mzazi. Baba yake Will Smith alikuwa akiishi mjini Philadelphia na alikuwa fundi maarufu wa majokofu.
will-smith-12

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi