,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, November 5, 2016

BEN POL

MKALI wa miondoko ya R&B, Ben Pol ameamua kujiongozea kipato chake kwa kufanya shughuli za kilimo licha ya kufanya muziki mzuri.

Ben pol ameweka wazi kuwa yeye anafanya kilimo cha cha Mpunga na Vitunguu na kwamba amekuwa akijiamni kutokana na kujipatia fedha zaidi na kuwa na uwezo wa kufanya kazi yenye ubora zaidi.  
“Mimi ni mkulima wa zao la vituguu pamoja mpunga, mimekuwa na utaratibu kila nikipata kiasi cha fedha uwa nawekeza katika biashara kwa sababu naamini itanisaidia hapo baadaye” anasema Pol.
Hata hivyo ben Pol amewashauri wasanii wengine kuangalia fursa nyengine za biashara ili kujiongezea kipato.

Mwisho ben Pol ameshauri kudumisha utamaduni wa nyumbani  Tanzania na wa Afrika ambao ni rafiki kwa jamii na  kuacha kuiga utamaduni wa wezetu (Wazungu).
 Source;JAMHURI


0 comments:

Post a Comment

ufunguzi