,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, November 8, 2016

Aliyewahi kuwa Waziri mwandamizi katika wizara mbalimbali, ikiwemo Wizara ya
Elimu, Ndg.Joseph Mungai, amefariki dunia jioni ya leo, katika hospitali ya taifa ya Muhimbili alipokua akipatiwa matibabu. Mungu ampumzishe kwa amani.!

Image may contain: hat and one or more people
 


Geofrey Mungai mtoto wa Marehemu amesema marehemu alipelekwa hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuanza kutapika mfululizo na kudhaniwa kwamba alikuwa amekula kitu kibaya.

Joseph James Mungai alizaliwa tarehe 24 Oktoba 1943

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi