,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, November 18, 2016

Majambazi yanayosadikika kuwa na silaha Za Moto (Nyingi)Wamevamia Duka Moja Mtaa wa Nkurumah Na Kupora Kiasi cha Pesa Hakijajulikana Bado.
Duka Hilo Linauza Bidhaa mchanyanyiko Min Market pia hutoa Huduma za Miamala ya njia ya Simu M pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.
Wakati wakiwa kwenye Harakati hizo Aliingia Mama Mmoja Mwenye Asili ya Kiasia kwa Ajili ya kwenda Kununua Dawa za Kutuliza Maumivu, Panadol Ndio Majambazi hayo Yalipomfyatulia Risasi Tatu Papo Hapo na Kufariki Dunia kisha yenyewe kutoweka kusipofahamika.
Tukio Hili Limetokea kwenye duka na Matukio ya kuporwa kwa watoa huduma za miamala ya pesa kwa njia ya simu imekuwa Sugu kwenye Jiji hili Na Mara nyingi hutumika Silaha za Moto kwenye matukio hayo

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi