,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, November 7, 2016

TANZIA: Aliyekuwa Spika mstaafu wa Bunge na Waziri Mwandamizi Mhe. Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko Ujerumani akiwa katika matibabu... Poleni ndugu , jamaa na marafiki wote na Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahala pema peponi Amina.
TAARIFA YA FAMILIA
Tunasikitika kuwataarifu kuwa mzee wetu mpendwa S.Sitta amefariki dunia Hosp Ujerumani saa 7:50 muda wa Ujerumani..Taarifa ya familia
Tutazidi kuwaletea taarifa zaidi, endelea kuwa nasi ...

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi