,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, November 25, 2016

Tecno wanakuletea ofay ya #BlackFriday kwa kushirikiana na Jumia ili kuhakikisha unafurahia kuwa mteja wa bidhaa za kampuni hizi mbili kwa muda mrefu.
Wateja watafaidika kwa njia mbaimbali kupitia ushiriano huu kuanzia kwenye huduma mpaka zawadi mbalimbali zitakazotolewa.Wateja watakaonunua simu mpya za PHANTOM 6 na PHANTOM 6 Plus watapata kuponi zitakazowawezesha kuagiza chakula popote ambapo kampuni ya Jumia inafanya kazi utaratibu huu umeanza rasmi 1/11/2016 ambapo pia wateja wa Jumia watakapoagiza chakula kupitia programu (Application) inayopatikana katika mfumo wa android watapata nafasi ya kushinda simu ya PHANTOM 6 na zawadi zingine kemkem zitakazo tolewa na kampuni ya JUMIA kwa hisani ya TECNO MOBILE LIMITED.


Katika mwezi huu wa Novemba na Desemba kuna nafasi kubwa kwa wateja wa kampunia hizi mbili kufurahia ofa kabambe, nunua simu za TECNO PHANTOM 6 katika maduka yote yaliyopo nchini kote upate kujishindia zawadi kutoka JUMIA na TECNO MOBILE LIMITED. Usikose Fursa Hii!

Unaweza kutembelea kurasa za mitandao ya kijamii ya Tecno kufahamu zaidi kuhusiana na Tecno Phantom 6 na Phantom 6 Plus.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi