,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, November 21, 2016

Baada ya Rapper wa kike Bongo mwenye swagga za hatari, Chemical kufunguka na kusema kuwa yeye bado ni bikira (hajawahi kujigijigi tangu azaliwe).Sasa mapya yaibuka kwa watu mbalimbali kwa kuto kumuamini kwa kusema yeye bado hajawahi kuguswa na mwanaume.
 
Chemical
Rapa Claudia ‘Chemical’ Lubao, amesema anashangaa kuona watu hawa muamini anaposema yeye hajawahi ‘Kuvunja amri ya sita’ tangu azaliwe.
Akiongea kupitia kipindi cha Kubamba cha Times Fm jana, Chemical amedai yeye anataka kuutunza ‘Usichana’ wake mpaka pale atakapo ona inafaa.
“Sijawahi kufanya Mapenzi hata siku moja, nimeachana na Mpenzi wangu kwa sababu hataki kusubiri, nipo single sasa hivi.
”Sijui watu kwa nini hawa amini, wanahisi ni kitu ambacho hakiwezekani aisee” alimaliza chemical.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi