,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, November 15, 2016

Baada ya kufanya vizuri na ngoma ya Zuzu pamoja na video, ChinBees anakwambia hivi yeye sio mtu wa kuzoeleka kwasababu anakwambia kaa tayari kwa mkao wa kula kitu kingine cha tofauti kinaitwa Ruba kinakuja.

Chinbees ni moja ya wasanii ambao wanakuja kwa kasi sana katika ramani ya muziki wa Bongofleva, upande wa Chorus pamoja na flow za kibabe ndizo zinamfanya kupendwa na mashabiki wa Industry ya muziki wa Bongo.
Akiongea na Perfect255Chin Bees amefunguka na kusema kwamba mashabiki zake wakae tayali kwa ujio mpya wa ngoma ya Ruba ambayo kuanzia video pamoja na audio zote zimeshapikwa kilichobaki ni kuzipakua tu kwa mashabiki, kinachosubiriwa ni Zuzu ipige hatua kwanza kwa mashabiki, Ruba ni ngoma ambayo imesukwa na Rufa.
“Rubaa Rubaa kunakitu kinaitwa ruba kipo ready everything, audio ipo tayari, video ipo tayari kabisa yaani, nasubiria zuzu isogeesogee kidogo watu waendelee kuisapoti, Kama ilivyo Chin Bess sitaki kuzoeleka” Alisema Chin Bees

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi