,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, November 14, 2016

Aliyekuwa mgombea urais nchini Marekani kupitia Chama cha Democratic, Hillary Clinton, amesema kushindwa kwake ghafla katika uchaguzi uliopita, kulichangiwa sana na hatua ya Mkurugenzi wa Shirika la Kijesusi la Marekani FBI, James Comey kutangaza uchunguzi mpya wa sakata la barua pepe dhidi yake siku chache kabla ya uchaguzi kufanyika.
Bi. Clinton aliyepata kura za wajumbe 228 huku mpinzani wake Donald Trump akishinda kwa kura za wajumbe 290 amewaambia wafadhili wa chama chake kuwa hatua ya Comey ilisambaratisha kampeini zake licha ya uchunguzi huo kutomkuta na hatia.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi