,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, November 29, 2016

Rapa kutoka Tip Top Connection, Dogo Janja ambae kwa sasa anafanya vizuri kwenye ramani ya mziki wake na hit single ya ‘KIDEBE’, katika chat za redio mbalimbali.
Kupitia kipindi cha Face-Off cha Dizzim Online, Dogo Janja aliweza kuzungumza mengi kuhusu muziki wa Bongo Fleva pamoja na Hip Hop ya Bongo.
Dogo Janja
Janjaro aliweza kujibu moja ya swali alilo ulizwa, Kwa nini muziki wa Hip hop ya Bongo haujafika mbali kimataifa ukilinganisha na Bongo Fleva? alianza kujibu kwa kusema Tanzania kuna vipaji lukuki kuliko nchi yoyote ile Duniani ila Muziki wa Hip hop umekosa Platform tu.
“Hakuna wasanii wa Hip hop wenye vipaji kama Tanzania, yaani Dunia nzima hakuna ila sema tumekosa Platform tu, lakini hata hivyo platform inazidi kukua kwani kuna mataifa mengine wana amini wakihit Bongo ndiyo wametoka” Alisema Dogo Janja.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi