,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, November 29, 2016

Tokeo la picha la SHOLO MWAMBA

MSANII anayetamba na ngoma yake ya ghetho kwenye mziki wa kizazi kipya wa Singeli Sholo Mwamba anatamaba na jambo ambalo anahisi analopekee yake kwenye mziki huo na wengine hawana.

sholo mwamba anadai kuwa yeye ndiye msanii pekee wa mziki huo aliyepiga shule ambapo hakuna mwanamziki mwengine mwenye elimu kubwa kama yake.
sholo mwamba anatamba kuwa yeye ndiye msanii pekee wa sengili mwenye elimu ya sekondari mabapo ameishia kidato cha tatu tu.
Hata hivyo madai hayo ya Sholi mwamba hajawahi kupingwa na msanii wowote wa mziki huo.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi