,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, November 15, 2016

Mbunge wa Arusha mjini Mhe.Godbless Lema ameshindwa kupandishwa kizimbani leo, ambapo ilikua tarehe ya kesi yake kusikilizwa
baada ya Mahakama kuelezwa kuwa Jeshi la Magereza limekosa gari ya kumpeleka Mahakamani kutoka gereza la Kisongo anaposhikiliwa.

Ktk kesi hiyo Lema na mkewe (Neema) wanashtakiwa kwa pamoja kumtukana Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Mrisho Gambo. Kutokana na kukosekana kwa gari ya kumpeleka Mahakamani leo, Lema na mkewe watapandishwa kizimbani kesho tar.16/11/2016 kujibu tuhuma hizo.

On other hand kesi ya uchochezi inayomkabili Lema itasomwa tena siku ya alhamisi tarehe 17/11/2016.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi