,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, November 26, 2016

castro
Rais wa zamani wa Cuba na kiongozi wa mapinduzi ya kikomunisti, Fidel Castro amefariki dunia mara baada ya kujitabilia kuaga dunia 
 Kwa mujibu wa taarifa nchi humo zinasema kuwa mdogo wake Fidel Castro Rais Raul Castro amethibitisha taarifa hizoi na kwamba amefariki usiku wa saa nne na dakika 22, akiwa na umri wa miaka 90, mdogo wake Raul ametangaza
Fidel Castro aliiongoza Cuba kama nchi ya chama kimoja kwa takriban miaka 50 kabla ya Raul kushika madaraka mwaka 2008.
Mazishi yake yanafanyika Jumamosi hii kwa mwili wake kuchomwa moto. Kutakuwepo na siku kadhaa za maombolezo ya nchi nzima.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi