,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, November 4, 2016

Katika maisha kila mtu ana ndoto ya kumiliki assets tena za maana, wapo wanaotaka magari, wengine nyumba na wengine hata viwanda ili mradi tu maisha yasonge.
Sasa msanii maarufu kutoka Nigeria, Tekno yeye kitu kama nyumba wala sio ishu lakini ishu kwake ni Gari.Tekno ambaye yupo Tanzania kwa sasa kwa ajili ya Tamasha la Fiesta 2016 litakalofanyika siku ya kesho pale Leaders Club, kinondoni jijini Dar es Salaam.
Tekno ametweet kwenye ukurasa wake wa Twitter ujumbe uliosomeka hivi “on my Mind” kwa tafsiri ndogo ni kwamba ndiyo kitu anachowaza kwa sasa.
Lakini pia hakuishia hapo tu alienda mbali zaidi na kuandika caption tofauti ila ya picha ile ile kwenye mtandao wa instagram na kuandika “This wouldn’t be a bad birthday gift! Any one? (it’s 17 Dec)”.
Kwa maelezo mengine mbali ya kuwa ni Gari la ndoto yake lakini pia anawaza ni vipi kama angezawadiwa kwenye siku yake ya kuzaliwa ya Tar 17 Desemba? basi tusubiri tuone kama ndoto yake itatimia.
Gari lenyewe ambalo msanii huyo analozungumzia ni Jeep Rubicon 2014 ni gari linalotengenezwa na kampuni ya Magari ya Jeep ya nchini Marekani kwa bei yake ni Tsh millioni 75,000,000/= Bila ushuru na gharama za kusafirisha.


Hapa chini nimekuwekea baadhi ya picha za Gari hiyo, sio gari la mchezo mchezo.

Muonekano wa ndani wa Gari hiyo (Jeep Rubicon 2014)

Muonekano wa Seat za Gari hiyo (Jeep Rubicon 2014)

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi