,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, November 5, 2016

Katika maisha kila mtu ana ndoto ya kumiliki assets tena za maana, wapo wanaotaka magari, wengine nyumba na wengine hata viwanda ili mradi tu maisha yasonge.

Sasa msanii maarufu kutoka Nigeria, Tekno yeye kitu kama nyumba wala sio ishu lakini ishu kwake ni Gari.
Tekno ambaye yupo Tanzania kwa sasa kwa ajili ya Tamasha la Fiesta 2016 litakalofanyika siku ya kesho pale Leaders Club, kinondoni jijini Dar es Salaam.
Tekno ametweet kwenye ukurasa wake wa Twitter ujumbe uliosomeka hivi “on my Mind” kwa tafsiri ndogo ni kwamba ndiyo kitu anachowaza kwa sasa.
WhatsApp-Image-2016-11-04-at-11.13.31-300x300
WhatsApp-Image-2016-11-04-at-11.13.43-233x300

rubicon-1-300x157


0 comments:

Post a Comment

ufunguzi