,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, November 18, 2016

Tokeo la picha la madee
MADEE 

Na Sosy
MSANII wa Bongo Flaval Madee ameweka wazi kuwa umri wa kuoa umeshafika na kwamba  atakapopata Mwanamke mwenye sifa anazitaka ndipo atakapoua.
Hayo ameeleza jana alipotembelea kituo cha televisheni cha Afrika Swahili Tv amesema kuwa Mwanamke mwenye maadili na aliyeshika dini ndiye aina ya mwanamke atakayeona.
“Sitafuti mwanamke natafuta Mke”Amesema Madee.

Madeee ameeongeza kuwa anamzimia mwanamke mwenye kujituma katika utafutaji

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi