,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, November 18, 2016

Mkali wa nyimbo za kufoka kwenye miondoko Hip Hop, Jay Moe hatimae azisanukia couple mbili za wasanii anazo zikubali zaidi kibongo bongo.
Hitmaker huyo wa Pesa ya madafu amefunguka jinsi anavyozikubali couple ya Diamond Platnumz na Zari pia Nahreel na Aika adai ni watu ambao wanachunga sana brand zao jambo ambalo linazidi kuwapa thamani kila kukicha.
"Mimi nadhani couple ya Diamond na Zari kwa sababu ipo kimapenzi na ipo kibiashara pia, jambo ambalo ni tofauti na couple zingine ambazo huwa kwenye mapenzi zaidi. Mimi pia natamani niwe na mpenzi ambae atakuwa na wivu sana jambo ambalo litanifanya ku-trend muda wote pia Nahreel na Aika wako vizuri sana kwenye couple yao" Amefunguka Jay Moe.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi