,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, November 16, 2016

yanga-new

Mishahara ya wachezaji wanaocheza ligi kuu ya Tanzania mara nyingi huwa haipo wazi kama ilivyo katika ligi nyingine mfano ligi ya Uingereza.
Achia mbali mishahara, wakati mwingine hata kiasi cha fedha kilichotumika kumsajili mchezaji katika klabu huwa hakiwekwi wazi.
Habari tulizozipata kutoka katika chanzo chetu za kuaminika kutoka ndani ya klabu ya Yanga, kimeweka hadharani mishahara ya wachezaji 13 wa klabu hiyo pamoja na kodi wanazokatwa.
Hi hapa chini ni orodha ya wachezaji 13 wa Yanga na malipo yao wanayolipwa kwa mwezi.

Hi hapa chini ni orodha ya wachezaji 13 wa Yanga na malipo yao wanayolipwa kwa mwezi.

Na. Jina Mshahara wa Jumla Kodi Mshahara halisi
1 Amiss Tambwe 9,238,714 2,653,714 6,585,000
2 Vincent Bossou 9,238,714 2,653,714 6,585,000
3 Donald Ngoma 9,238,714 2,653,714 6,585,000
4 Obray Chola Chirwa 9,238,714 2,653,714 6,585,000
5 Haruna Niyonzima 9,238,714 2,653,714 6,585,000
6 Thaban Kamusoko 7,670,857 2,183,357 5,487,500
7 Mbuyu Twite 7,670,857 2,183,357 5,487,500
8 Simon Happygod Msuva 5,545,857 1,545,857 4,000,000
9 Kevin Patrick Yondani 4,117,286 1,117,286 3,000,000
10 Nadir Haroub 4,117,286 1,117,286 3,000,000
11 Deus David Kaseke 2,688,714 688,714 2,000,000
12 Deogratius Munishi 2,688,714 688,714 2,000,000
13 Ally Mustapha 2,688,714 688,714 2,000,000

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi