,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, November 6, 2016

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE PAMOJA NA MAOFISA WA NBA WAKISHUHUDI MCHEZO WA FAINAILI 

RAIS Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa nchi ya Tanzania itang’ara katika michezo kama kuna hamasa  zitaendelea

Dkt Kikwete lisema hayo wakati wa mchezo fainali ya ligi ya mpira wa kikapu ya  Junior NBA  uliofanyika katika kiwanja cha Jakaya Mrisho Kikwete Park jiji Dar es Salaam,
Ligi hiyo ilishindanisha shule 30 za sekondari zilizo jijini yaliyodumu kwa miezi tisa ambapo katika fainali hiyo iliwakutanisha timu ya Lord Baden iliyoshinda mabao 22-18 dhidi ya Tusiime  kumbukumbu 22-18
Amesema moja ya dalili njema ni uwanja huo unarekodi ya vijina  50,000  wanaohudhuria katika mafunzo ya michezo mbalimbali anahudhuria mafunzo katika michezo mbalimbali
Alisema kuwa kutokana na mafunzo hayo baada ya miaka mitanon au 10 vijana watatoka vijana wazuri katika michezo.
Amesema kuwa tayari vijana wawili wamechaguliwa kujiunga katika timu ya taifa ambapo taifa hili baada ya miaka 10 litakuwa katika orodha ya mataifa yanayofanya vizuri katika michezo.

Dkt Kikwete alitoa wito kwa vilabu vya soka kuanzisha mafunzo maalumu kwa ajili ya vijana ili kuimarisha kujenga timu yenye ufanisi mkubwa utakao wasaidi kushindana katika mashindano ya kimataifa.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi