,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, November 17, 2016

Za kunyapia nyapia zimemfikia mwakilishi wa shirika la wambea duniani SHILAWADU Soudy Brownkumuhusu Video vixen Tunda Apple ambaye ametokea kwenye chupa la Diamond Platnumz na Rayvanny“Salome”.

Screenshot_2016-11-16-18-33-46
Taarifa hizo zikidai kuwa Sponsor ambaye alikuwa akimuweka mjini (Kumuwezesha kifedha) dada yetu Tunda amebwaga manyanga baada tu ya kutambua kuwa Tunda anachepuka na msanii Diamond Platnumz.
Inasemekana Tunda alifunga safari kutoka Dar es Salaam na kwenda kula bata na Diamond kwenye show ambayo imefanyika weekend iliyopita visiwani Zanzibar. Ndipo wawakilishi wa Shilawadu walipoona vitu vitu flani hivi vya kutatanisha baina ya wawili hao.
Shilawadu walizinyaka hadi clips za sauti ambazo mwanadada Tunda alikuwa akiomba msamaha kwa KIBOSILE huyo. Na inasemekana mpaka wazazi wa mrembo huyo wameingilia kati suala hilo kutaka mwanao asamehewe juu ya hilo.
Ubuyu wote nimekukusanyia hapa chini kwenye video hii, Bonyeza play ili kuitazama.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi