,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, November 4, 2016

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kikifanya mazoezi
IKIWA bado siku tisa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kuminyana na timu ya Taifa ya Zimbabwe katika mchezo wa kirafiki utakaochezwa tarehe 13 Novemba Mwaka huu Mjini Harare Zimbabwe Kocha wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa atangaza kikosi chake. 
Kocha Mkwasa amekitaja kikosi hicho leo kitakachoongozwa na Nahodha Mbwana Samata na wachezaji wengine 23 watakao inyanyua timu ya tanzania kwenye mchezo huo 

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi