,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, November 6, 2016

Tokeo la picha la makonda
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amekagua vituo vidogo vya polisi katika mkoa huo na kubaini kuwa havikidhi haja ya kuwahudumia wananchi na kuahidi kujenga vituo vipya 20.

Amesema  kuwa vituo hivyo vitakuwa na thamani ya shilingi bilioni 10 kwa wastani wa shilingi milioni 500 kila kituo kimoja vitakavyokuwa na askari 100 kwa kila kituo na silaha za kutosha.
Amesema kuwa kufanya hivyo kutasaidi kuzuia mianya ya wahalifu wanaovamia vamia vituo hivyo na kwamba ameeleza kuwa vituo hivyo vitafanya kazi usiku na mchana katika mazinguira mazuri.
“Tayari ninampango wa kujenga vituo ishirini vikubwa katika mkoa wa Dar es Salaama ambayo vitakuwa vikifaanya kazi usiku na mchana vitakavyokuwa na askari wasio pungua 100 na watafanya kazi usiku na mchana katika mazingira mazuri”amesema Makonda.


0 comments:

Post a Comment

ufunguzi