,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, November 12, 2016

Hili lingine limetokea huko Ufilipino baada ya mama kuamua kumfunga mtoto wake mnyoyoro na kumwekea chakula kama mbwa kwa madai amekua akimsumbua.
Matukio ya unyanyasaji kwa watoto yameendelea kuchukua headlines kila kukicha sehemu mbalimbali duniani.
Miongoni mwa matukio yaliyosikika siku za hivi karibuni ni pamoja na lile la mfanyakazi wa ndani kumtesa mtoto kule Uganda, na kule India kuna lile la mtoto wa siku nne kulazimishwa kutembea na mganga kwa madai atapona..Yote haya ni matukio ya unyanyasaji kwa watoto.
Mama huyo aliweka picha za mwanaye huyo wa kiume akiwa uchi kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook, lakini picha hizo zilichukuliwa na wanaharakati wa haki za binadamu na kumfungulia mama yake mashtaka.
Mmoja wa wanaharakati hao Lurleen Hilliard. alisema kwa sasa mtoto huyo atakua chini ya kituo cha kulelea watoto wakati mama yake akitumikia adhabu kwa unyanyasaji alioufanya.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi