,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, November 29, 2016

Ni baada YA HALMASHAURI YA Kyela kushindwa kuwalipa fidia kwa miaka 3Awataka wananchi wapatiwe hati wajenge au kuuza lakini ujenzi uzingatie ramani YA mpango miji Mbunge Dr Mwekyembe na Dr Mary mwanjelwa waunga Mkono 
Mkuu wa MKOA wa Mbeya Amos Makalla Leo ameiagiza HALMASHAURI YA Kyela kuwarejeshea wananchi viwanja 680 ambavyo walivipima Kijiji cha KANDETE ili viuzwe baada YA kukamilisha kuwalipa wananchi fidia lakini Mpaka uamuzi huu unafanyika ni miaka mitatu wananchi hao Hao hawajalipwa fidia
Amewataka wananchi kushirikiana na HALMASHAURI ya Kyela iwapatie hati na sharti mojawapo kwa wananchi au watakaowauzia wajenge kwa mujibu wa mpango miji
Umesema uamuzi huu una lengo ka kuwaondolea adha wananchi kuendelea kusubiria fidia ambayo HALMASHAURI wamekosa Fedha lakini pia itawapa fursa wananchi wenyewe baada ya kupata hati watauza wenyewe

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi