,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, November 15, 2016

GS1 watia saini makubaliano na wakurugenzi kuwezesha mafunzo ya Barcode Rc awataka wajasiriamali na wafanyabiashara wajitokeze mafunzo ni Bure
Gharama zitalipwa na halmashauri zao itawaongezea wajasiriamali Elimu YA ufungaishaji wa bidhaa na itawezesha kuyafikia masoko ndani na nje YA nchi
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla leo ameshuhudia utiaji saini ya utoaji Mafunzo kwa wafanyabiashara kuhusu Ufungaishaji bidhaa na barcode kati ya kampuni GS1 Tanzania na halmashauri zote za mkoa wa mbeya
Utiaji saini ni utekelezaji wa maagizo YA Mkuu wa Mkoa kuwasaidia wajasiariamali na wafanyabiashara kuboresha bidhaa zao na kuyafikia masoko ndani na nje YA nchi 
Mafunzo hayo yatatolewa bure kwa wajasiriamali wote watakaojitokeza
Mkurugenzi wa GS1 Tanzania Fatuma Kange amepongeza jitihada za Mkuu wa Mkoa wa Mbeya na wapo tayari kutoa Mafunzo mwezi januari . Amesema Mkoa wa Mbeya utakuwa Mkoa wa mfano na ana imani kuwa mikoa mingine itaiga jitihada za kuwasaidia wananchi kujikwamua kiuchumi na zaidi kuifanya Tanzania yenye viwanda kwa vitendo

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi