,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, November 21, 2016

Na Sosy
MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda awashukia askari wa jeshi la polisi wanaokula rushwa na kunyanyasa wananchi na kuwataka watoe majibu ya malalmiko hayo.

Paul Makonda amezungumza hayo leo alipokuwa Keko  Wilayani ikiwa ni sehemu ya  ziara yake ya siku ndani ya Jiji la Dar es Salaam ambapo alisimama kusikiliza malalamiko ya wananchi wa eneo hilo mara baada ya kutoka kukagua kiwanda ya feniture cha Mwanalisa na kiwanda cha Gysum .
Awali makonda alisimamisha msafra wake na kutaka kusikiliza kero za wannchi kama ilivyo lengo la ziara hiyo ambapo alisimama mwananchi mmoja alisimaana kueleza kuwa yeye aliahikukamatwa najeshi hilo mara baada ya kuhoji utaratibu wa jeshi kukamata watu bila ya kosa.
Mwananchi mwengine liyejitambulisha kama mama saidi alisem kuwa mtoto wake ambaye ni dereva bodaboda  aliyekamatwa kwa muda mrefu bila ya kupewa dhamani ilhali hana kosa nab ado askari hao wanadai rushwa ya shilingi laki nne ikiwa tayari ameshawapa laki mbili lakini bado mtoto wake hajaachiwa na wala hajapewa pikipiki yake.
Baada ya kusikiliza malalamiko hayo Makonda amesema kuwa anataka majibu hapo hapo kutokana na kuwa amefutana na wahusika katika kila idara ambapo kwa jeshi la polisi alikuwa yupo pamoja na kamanda wa Mkoa wa kipolisi wa Temeke kamanda Mroto.
Kamanda Mroto akijibu hoja hizo amesema kuwa jeshi hilo lipo katia kusimamia sharia na kwamba mtu yoyote atakayekwenda kinyume na sharia atawajibishwa ikia pamoja ana baadhi ya askari polisi wasiokuwa .
Kamanda Mroto amesema kuwa hata wananchi nao wanatakiwa wasivunje sharia kutokana na kuwa waendesha bodaboda wamekuwa wavunjaji washeria hivyo wanapovunja sharia watawajibishwa
Amesem kuwa mwananchi yoyote atakayekutana na askari wenye kutaka rushwa waende wawalipoti na waikubali kutoa rushwa.

 Mwisho Makonda amesema kuwa wananchi wafuate sharia hasaa waendesha bodaboda pia na kuwataka polisi wanaokula rushwa wawajibishwe.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi