,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, November 15, 2016

Licha YA serikali YA Wilaya YA chunya kutoa elimu na muda wa miezi miwili wavamizi wote WALIOVAMIA na kufanya makazi , kilimo na ufugaji kuondoka kwenye hifadhi bado baadhi YA wavamizi wamekaidi agizo hilo
Kutokana na hali hiyo imemlazimu Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla kutembelea hifadhi hiyo na kufanya mkutano wa hadhara kijijji cha Bitimanyanga kata YA mafyeko na kuagiza Ndani YA siku 14 wavamizi wote wawe. Wamehama
Ameeleza kuwa hifadhi hiyo umeanzia he's kisheria na serikali lazima isimamie uwepo wa hifadhi hiyo. Amekemea tabia YA watu kuvamia hifadhi hiyo kukata miti, kuchoma Moto na kuharibu vyanzo vya Maji 
Ameagiza tarehe 28 novemba serikali itafanya msako kujua waliokaidi agizo hilo halali

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi