,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, November 4, 2016

linah
Linah Sanga amedai kuwa nafasi yake bado ipo japo ameonekana kutofanya vizuri kwenye muziki kwa sasa.

Miaka miwili iliyopita msanii huyo alionekana kuwa moto zaidi hasa baada ya kuachia wimbo wa ‘Ole Themba’ huku mashabiki wakitarajia mafanikio makubwa zaidi kutoka kwa msanii huyo lakini baada ya muda matarajio yake yakawa tofauti.
Muimbaji huyo ameiambia Bongo5, “Unajua kila jambo na wakati wake, na kila kitu kinatokea kwa sababu. Nafasi bado ipo ila mbaya ni changamoto ndogo ndogo zilizopo.”
Kwa sasa muimbaji huyo ameachia video yake mpya ya ‘Raha Jipe Mwenyewe’.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi