,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, November 17, 2016

Kwenye interview na Sammisago.Com Msanii wa muziki wa dance Charles Babaamesema kwa sasa anafanya kazi kama Solo artist na tayari ana colabo na msanii wa bongo fleva Barnaba.

Nimefanya wimbo wangu mpya na Barnaba unaitwa #MoyoKona na nimefanya kwenye studio yake, nikimaliza kufanya video mashabiki wataona kitu tofauti kutoka kwa Charles Baba, kilichonifanya niwe kimya ni mkataba na Mashuja Band ndio maana naweza tu kufanya kazi kama Charles Baba na Sio na Bendi yoyote“.
barnaba
Charles kwa sasa bado yupo kwenye mkataba na Mashuja Bend na hawezi kufanya kazi na bend nyingine mpaka malipo flani yafanyike kwa Mashuja ndio maana anafanya kazi ka solo artist tu.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi