,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, November 22, 2016

Msanii anaefanya vizuri kwasasa kunako Bongo Fleva Galatone,amewashauri wasanii wakongwe kuacha mazoea wanapokuwa jukwaani kwani kufanya kazi kwa mazoea ndiyo chanzo cha show mbovu.

Galatone
Galatone aliongea hayo jana kupitia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio na kudai ya kuwa sio wasanii wote wanaharibu show kwani wapo ambao wanaofanya vizuri na wapo ambao ni wakongwe kabisa lakini huwa wanafanya kazi kwa mazoea wanapo kuwa jukwaani.
Cha kwanza ni kwamba Show haitakiwi kuizoea,kitendo cha kulizoea jukwaa hicho ndiyo chanzo cha kubweteka na kujiona mkubwa,na ukisha jiona mkubwa unakuwa legendary na ukiwa legendary unatakiwa kila siku uwe up-to-date yaani inakupasa kufanya vitu vingi vipya ili kuwavutia mashabiki“ Alisema Galatone.
Galatone kwa sasa yupo mikoani kwenye Tour yake ya ‘Samaki Tour‘ Tour ambayo aliuianzia Dar es salaam kabla ya kuelekea Mikoani,Galatone kwa sasa anahit na nyimbo zake mbili Samaki na Sarafu.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi