,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, November 13, 2016

Hitmaker wa ngoma ya “Hands Up” Young Dee ameendelea kuongeza list ya mastaa kutoka Bongo Flevani wenye followers wengi zaidi katika mtandao wa instagram.

Instagram photo by PAK--RAPPER_BMt9Q9NAyhP - JPG
Ni baada ya kutimiza followers Million 1 katika mtandao wa instagram na kuongeza idadi ya mastaa kutoka  Tanzania wenye followers wengi zaidi katika mtandao huo.
IMG_20161112_210157
Mastaa wengine wakubwa duniani ambao wametimiza followers Million 1 hivi karibuni ni pamoja na Fat Joe hit maker wa ngoma ya “All the way up” wa nchini Marekani.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi