,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, November 25, 2016

Fidel Castro sits as he clasps hands with his brother, Cuban President Raul Castro
MWANAMAMPINDUZI wa Kimkomunisti Fidel Cactro amewaambia viongozi mbalimbali  waliokusanyika katika mkutano wa watu wa Cuba kuwa atafariki dunia hivi karibuni na kwamba hiyo ndio inaweza kuwa hotuba yake ya Mwisho.

Kwa ujasili mkubwa  Castro aliyekuwa Rais Huyo wa Kwanza katika Nchi amesititiza kuwa mawazo ya mapinnduzi yaendelee katika nchi hiyo. 
fidel cactro amewasihi vijana kuwa ndio taifa imara na kwamba jambo hilo alikuwa anasisitiza kwa muda mrefu kutokana na kuanza kusumbuliwa tangu mwaka 2000
"Hivi karibuni nitatimiza miaka 90'' nitakuwa kama wengine alisema Castro.
hata hivyo mdogo wake Raul Castro mwenye miaka 84. ameeleza kuwa ataongoza nchi hiyo mpaka mwaka 2018. 
Fidel Castro alizaliwa Agost 13, 1926 ambapo amewahi kuwa mwanasiasa wa Kuba, mwanamapinduzi wa Kuba, Waziri Mkuu wa Kuba kati ya mwaka 1959 hadi mwaka 1976 na amekuwa Rais wa Kuba huru kati ya mwaka 1976 na 2008.
Fidel Casto ameweza kufanya kazi kama katibu wa kwanza wa chama cha Kimkomunisti cha Kuba kati ya mwaka 1961 na 2011, chini ya utawala wake ambao ulikuwa wa chama kimoja, Castro ameweza kusimamia misimamo yake kimataifa.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi