,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, November 21, 2016

Msanii Nikki wa pili ambaye pia ni mwanazuoni anayetoka kundi la Weusi ambalo linafanya vizuri kwenye muziki wa Hip Hop, ameweza kuweka wazi kiashiria cha kukuwa kwa msanii na muziki wake.

Nikki wa Pili amesema show za kimataifa na kuchaguliwa kwenye tuzo za nje ni moja ya kiashiria cha kukuwa kwa msanii na muziki wake.
Instagram photo by nikk wa ii_BMUE6INh7xi - JPG
Nikki wa Pili
Rapper huyo amekiambia kipindi cha Dj Show cha Radio One huwezi kusema kama muziki wako umefika mbali wakati kwenye tuzo za nje ya nchi yako haupo.
“Unapopata show za kimataifa na kuwa nominated kwenye tuzo za nje ina maana kuwa muziki wako umevuka zaidi ya mipaka ya nyumbani kwako, kwa hiyo ni moja wapo ya kiashiria. Huwezi kusema muziki umefika mbali kama kwenye tuzo ambazo zinashirikisha nchi nyingi haupo,”, amesema Nikki.
“Kwahiyo ni moja wapo ya kiashiria cha kuona huo muziki una kuwa lakini haimaanisha inatupa picha yote hapana,” ameongeza.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi