,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, November 21, 2016

Majuma kadhaa tu yaliyo pita, Wema Sepetu alionekana ku post picha nyingi kwenye account yake ya Instagram kumtakia heri ya kuzaliwa aliyekuwa shoga yake miaka ya nyuma Aunty Ezekiel.
wema-sepetu-smile
Wema Sepetu
Wengi kwenye mitandao ya kijamii wakajua kuwa tofauti zao zimeisha lakini cha ajabu ni tukio lililotoeka jana pale ambapo Aunty Ezekiel alipo weka picha Instgram kumtakia heri ya kuzaliwa mmoja wa amrafiki zake na Wema Sepetu ku comment kwenye post hiyo.
Dakika kadhaa tu Aunty Ezekiel alirejea kumjibu Wema kwa kumwambia aachane naye!
PicsArt_11-21-09.35.26


0 comments:

Post a Comment

ufunguzi