,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, November 9, 2016

November 7 2016 soka la Tanzania lilipata pigo kwa kupokea taarifa za kifo cha aliyekuwa mwenyekiti wao Said Mohamed, November 7 mzee Said Mohamed alifariki dunia akiwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Agakhan.
Rais wa zamani wa TFF Leodger Tenga wakati wa mahojiano na Clouds TV
Leo Jumanne ya November 8 2016 mazishi ya mzee Said yalifanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na watu na viongozi mbalimbali wa soka Tanzania.
Kama utakuwa unakumbuka vizuri mzee Said Mohamed alikuwa meneja mkuu wa makampuni ya SSB, mwenyekiti wa Azam FC, makamo mwenyekiti wa bodi ya Ligi na mjumbe wa kamati ya utendaji ya shirikisho la soka Tanzania TFF.
Kocha wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa mwenye t-shirt ya mistari pichani akisalimiana na mdau wa soka
Kutoka kushoto kaimu katibu mkuu wa Yanga Baraka Deusdedit
Kocha wa Yanga muholanzi Hans van Pluijm alikuwa ni mmoja kati ya viongozi wa soka waliohudhuria katika mazishi ya mzee Said


Kutoka kushoto ni mkuu wa vipindi wa Clouds FM Shaffih Dauda akiwa na mdau wa soka


Rais wa TFF Jamal Malinzi


A

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi