,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, November 30, 2016

Msanii wa Hip Hop kutoka Bongo, Roma Mkatoliki, amesema anashangazwa na kitendo cha mashabiki kupenda zaidi muziki wa nje kuliko ule wa wasanii wa hapa nyumbani.

Roma amesema yeye kama msanii kitu kama hicho kinamuumiza na hajui iwapo ni thamani ya msanii imeshuka hapa nyumbani, au ni kweli muziki wa nje ni mzuri kuliko hapa nyumbani.
Kitendo hicho cha Roma kimeungwa mkono kauli ya MC Koba ambaye naye alishawahi kulalamika kitu kama hicho, na kusema kuwa kinaua muziki wa ndani na kupoteza matumaini ya wasnaii wa hapa nyumbani.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi